Workplace Romance 2025 💖💖

First week 2025 nlisoma juu ya kukua unavailable kwa mschana una-eye. Soo, nmeifanya the last three days job. Guys, ebu niambie mbona tukikaribiana nikama tunaanza kutetemeka ata mikono. Guys ata yeye. Kwanza salamu tunazidelay hadi kitu saa sita mchana hivi. By hio time tension imebuild aje. This is lovely, its the thrill of it. Saa hii tumeamka nikama tulitaka kuenda kwa Xerox pamoja, sema kuanza kufungua locker.. Lol, Am dying mazee, thought i would grow out of this shit !!